Friday, February 3, 2012

MOSHI HUU USIPODHIBITIWA IPASAVYO UTALETA ATHARI GANI KWA BINADAMU?

 

Wengi wamekuwa na dhana kuwa uharibifu wa mazingira unatokana na utupaji taka,
ukataji miti na kadhalika, lakini moshi
 utokanao na vyombo vya usafiri, ama viwanda na vitu vingine, halionekani kama ni tatizo na una athari kwa viumbe hai hususani binadamu.
ni wakati wa kujiuliza ni kwa namna gani tunaweza kudhibiti hali hiyo?   

No comments:

Post a Comment